Cheka na Zephiline

Cheka na Zephiline

Tazama Filamu za Kuvutia Pamoja na Vichekesho Bure Kabisa Website inakuletea mchanganyiko wa kipekee wa filamu na vichekesho kutoka kwenye channel zetu za YouTube. Jipatie dozi ya kuvutia ya burudani na kufurahia maudhui yaliyochangamka, yenye kuchekesha na yenye kuvutia. Pata filamu na vichekesho vyote unavyovutiwa navyo hapa!

BANNER 728X90

Jumanne, 22 Aprili 2025

Fumanizi la Mchepuko Mwizi😂 | Comedy

Aprili 22, 2025
Fumanizi la Mchepuko Mwizi😂 | Comedy
Mume amefuma viatu vya mchepuko wa mke wake mlangoni lakini akakosea kuingia ndani kabla aweke umakini kwenye hivyo viatu mwisho wa siku akaibiwa na vyake😂

Hili tukio lazima lichukuchekeshe sana hata kama ulikuwa haujataka kucheka
Itazame kisha nipe like na ukinipa maoni kwenye comment nitashukuru sana

Usisahau kubonyeza Subscribe kama haujajiunga na fungua #ChekanaZephiline kupata video zangu zote ambazo zipo mtandaoni
Nashukuru sana kwa wewe ambaye unanipa nguvu ya kuendelea kuwaletea kazi nzuri kila siku na nasisitiza usichoke mambo mazuri yanakuja🙏🏽
Read More

Jumatatu, 21 Aprili 2025

Chenchi ya Bubu | Comedy

Aprili 21, 2025
Chenchi ya Bubu | Comedy
Jamaa kaamua kubadili toroli lake kuwa taxi na kupata abiria wa kwanza

Safari inachekesha hadi mwisho lakini mambo yanabadilika wanapofika na kukosa chenchi! Wanapojaribu kupata chenchi kwa muuza duka wanakutana na BUBU! 😂

Hapo sasa ndo vurugu zinaanza na lugha haieleweki na kisu kinatoka! 😂😂

Usikose hii kichekesho kali!
Kama umependa, Like, Comment na Share kwa marafiki zako!
Read More

Jumapili, 20 Aprili 2025

Kula, Kunya na Safiri Bure | Utapeli Mpya😂 | Comedy

Aprili 20, 2025
Kula, Kunya na Safiri Bure | Utapeli Mpya😂 | Comedy
Vijana hawa wawili wameamua kutumia ujanja wao ili kupata kila kitu bure!

Kutoka kula hotelini bila kulipa
Kuchukua soda dukani bila kulipa hadi kupata usafiri wa bure kwa mbinu za kushangaza! 😂😂

Je, watalifanya hili hadi lini?
Angalia ujanja wao hadi mwisho!

Usisahau ku-Like, Kusema Neno Moja kwa Komenti, na KUSUBSCRIBE kwa Comedy zaidi  🎥🔥
Read More

Jumamosi, 19 Aprili 2025

Mume Mvuta Bangi | Comedy

Aprili 19, 2025
Mume Mvuta Bangi | Comedy

Ijumaa, 18 Aprili 2025

"Mama Yetu Yuko Wapi?" | Comedy

Aprili 18, 2025
"Mama Yetu Yuko Wapi?" | Comedy
MAMA YETU YOPO WAPI?
Watoto waliamua kukaba Baba yao awaambie kwanini aliachana na Mama yao wakati ndoa inasema kuvumiliana kwenye shida na raha

Baba alikosa cha kujitetea ikabidi awe mkali tu
Tazama alichoamua kuwafanyia watoto wake baada ya kumlazimisha awaambie alipo Mama yao

Usisahau kubonyeza Subscribe kama ndio mara ya kwanza unatazama video katika channel hii

KARIBU SANA
Read More

Alhamisi, 17 Aprili 2025

Umbea Umemponza | Comedy

Aprili 17, 2025
Umbea Umemponza | Comedy

Jumatano, 16 Aprili 2025

Umri ni Namba | Comedy

Aprili 16, 2025
Umri ni Namba | Comedy

Jumanne, 15 Aprili 2025

Mwanamke Katili Kwa Mume Wake | Comedy

Aprili 15, 2025
Mwanamke Katili Kwa Mume Wake | Comedy
Philipo amekuwa akitumikishwa kazi na mke wake kila siku kufanya kazi za ndani ikiwemo kuosha vyombo na kupika

Mshumbuzi amekuja kwake ili kumuomba ushauri kuhusu ndoa yake ndipo akakutana na majanga kutoka kwa rafiki yake Philipo mpaka akaona bora shida zake kuliko za mwenzake

Jionee mkasa mzima ujue nini kiliendelea kati ya Philipo na Mshumbuzi
Read More

Jumatatu, 14 Aprili 2025

Ubahiri Wamponza | Comedy

Aprili 14, 2025
Ubahiri Wamponza | Comedy
Philipo alikuwa bahili sana hivyo mwenzake akamuundia mtego ili aaibike

Kweli Philipo aliabishwa sana lakini mwisho wa siku zile aibu zilihamia kwa muandaa mchezo kwakuwa naye alikuwa anataka faida kwenye hilo lakini akaishia kuabishwa na kusemwa tena😂

Tazama mkasa huu wa kuchekesha na kufurahisha
Usisahau kabisa kunisaidia kusambaza kichekesho hiki ili wengi wakione

Ukilike na kuweka maoni utakuwa umefanya la maana sana na nitashukuru sana
Read More

Jumapili, 13 Aprili 2025

Wazazi Wameniibia Baiskeli Usiku | Comedy

Aprili 13, 2025
Wazazi Wameniibia Baiskeli Usiku | Comedy
Dogo kaamka asubuhi haioni baiskeli yake halafu alisikia usiku wazazi wake wakiambiana panda juu🤣

Dogo akaamini ndio wao wamemuibia ile baiskeli na hapa anang'unika kwani wazazi wake wamemkosea sana

Lakini baada ya ujumbe kuwafikia wakubwa ndipo inageuka kuwa kichekesho maana utoto unaonekana kuwa ndio changamoto kwa bwana mdogo huyu😂

Nini kiliendelea?
Fuatilia mkasa huu😂
Read More

Jumamosi, 12 Aprili 2025

Wahuni Sio Watu Wazuri | Comedy

Aprili 12, 2025
Wahuni Sio Watu Wazuri | Comedy
Jamaa ameuliza mwenzake kwamba hii kauli ya WAHUNI SIO WATU WAZURI ina maana gani?

Sasa katika maongezi akatokea kijana akaingia maongezi na kusema kuwa yule jamaa wahuni wameshamalizana naye ikiwa na maana amekutanishwa na matukio wanayofanya wahuni

Sasa hapa tunachojiuliza hawa wahuni huwa wanawafanyia nini watu🤣

Usisahau kunipa nguvu kwenye kazi zangu kwa kuchangia maoni na kubonyeza LIKE
Read More

Ijumaa, 11 Aprili 2025

Miaka 18 na Kuendelea | "18 and Above"🤣 | Comedy

Aprili 11, 2025
Miaka 18 na Kuendelea | "18 and Above"🤣 | Comedy
Jamaa anaonekana ametoka kuazima CD ya filamu ili akatazame nyumbani kwake. Katika kasha la CD anaona neno "18 and Above" na yeye anadhani ilipaswa kutazamwa na watu 18 kwa pamoja 🤣.

Anaanza kuwatafuta wale watu 17 ili wawe 18 pamoja naye. Wakati anampata wa kwanza na anaelekea kwa wapili, yule wa pili anamuelezea kuwa maandishi "18 and Above" hayamaanishi watu 18, bali umri wa kuanzia miaka 18 na kuendelea 🤣.

Ndipo anapoelewa na kwenda zake kutazama filamu huku akiachana na yule aliyempata mara ya kwanza.

Ama kweli elimu ni ufunguo wa maisha 🤣😂🤣😂
Read More

Alhamisi, 10 Aprili 2025