
Dogo kaamka asubuhi haioni baiskeli yake halafu alisikia usiku wazazi wake wakiambiana panda juuš¤£
Dogo akaamini ndio wao wamemuibia ile baiskeli na hapa anang'unika kwani wazazi wake wamemkosea sana
Lakini baada ya ujumbe kuwafikia wakubwa ndipo inageuka kuwa kichekesho maana utoto unaonekana kuwa ndio changamoto kwa bwana mdogo huyuš
Nini kiliendelea?
Fuatilia mkasa huuš
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni