
Jamaa ameuliza mwenzake kwamba hii kauli ya WAHUNI SIO WATU WAZURI ina maana gani?
Sasa katika maongezi akatokea kijana akaingia maongezi na kusema kuwa yule jamaa wahuni wameshamalizana naye ikiwa na maana amekutanishwa na matukio wanayofanya wahuni
Sasa hapa tunachojiuliza hawa wahuni huwa wanawafanyia nini watuš¤£
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni