
Jamaa anaonekana ametoka kuazima CD ya filamu ili akatazame nyumbani kwake. Katika kasha la CD anaona neno "18 and Above" na yeye anadhani ilipaswa kutazamwa na watu 18 kwa pamoja 🤣.
Anaanza kuwatafuta wale watu 17 ili wawe 18 pamoja naye. Wakati anampata wa kwanza na anaelekea kwa wapili, yule wa pili anamuelezea kuwa maandishi "18 and Above" hayamaanishi watu 18, bali umri wa kuanzia miaka 18 na kuendelea 🤣.
Ndipo anapoelewa na kwenda zake kutazama filamu huku akiachana na yule aliyempata mara ya kwanza.
👍Like | 🗨Comment | ▶Subscribe | 🔀Share
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni