
Jamaa kaamua kubadili toroli lake kuwa taxi na kupata abiria wa kwanza
Safari inachekesha hadi mwisho lakini mambo yanabadilika wanapofika na kukosa chenchi! Wanapojaribu kupata chenchi kwa muuza duka wanakutana na BUBU! 😂
Hapo sasa ndo vurugu zinaanza na lugha haieleweki na kisu kinatoka! 😂😂
Usikose hii kichekesho kali!
Kama umependa, Like, Comment na Share kwa marafiki zako!👍Like | 🗨Comment | ▶Subscribe | 🔀Share
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni