
Mume amefuma viatu vya mchepuko wa mke wake mlangoni lakini akakosea kuingia ndani kabla aweke umakini kwenye hivyo viatu mwisho wa siku akaibiwa na vyakeš
Hili tukio lazima lichukuchekeshe sana hata kama ulikuwa haujataka kucheka
Itazame kisha nipe like na ukinipa maoni kwenye comment nitashukuru sana
Usisahau kubonyeza Subscribe kama haujajiunga na fungua #ChekanaZephiline kupata video zangu zote ambazo zipo mtandaoni
Nashukuru sana kwa wewe ambaye unanipa nguvu ya kuendelea kuwaletea kazi nzuri kila siku na nasisitiza usichoke mambo mazuri yanakujašš½
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni