Wapo Wapi Siku Hizi? 😢

- Anakupelekea maji Bafuni
- Ukimaliza kuoga Ndoo unaacha huko huko anaenda kuchukua yeye
- Saa ya kula anakunawisha mikono huku kakupigia magoti
- Akitaka kukupa kitu lazima akupigie magoti kwa heshima
Kwani waliendaga wapi jamani?😢😪 #ChekanaZephiline
Chapisha Maoni