Mbona ni Nyeupe? 🤔

Katika maswali yake akaniuliza "Hivi Kaka kwanini mbegu za kiume ni nyeupe?"
Nlipoona sina jibu sahihi la kulijibu nkamgeukia nkamuuliza "Haya wewe ulizionea wapi wakati ni mwanafunzi!?"
Nani akubali kuabika kzembe hivyo🤣 #ChekanaZephiline
Chapisha Maoni