Tukio Limenitokea π

Ila kifupi hata sura yake ilionesha ni wakike lakini kwakuwa alipenda kucheza na watoto wakiume jamii ikaishi ikijua ni basi tu kajaaliwa muonekano mzuri kumbe wasijue ni pisi kaliπ€£
TUKIO KAMA HILI LIMEWAHI KUNITOKEA HATA MIMIπ€£
Kuanzia miaka ya 1993 mpaka 2011 jamii imekuwa ikinione mimi ni mvulana ila sasa hivi ni mume wa mtu na Baba wa watoto wawiliπ #ChekanaZephiline
Chapisha Maoni