Mchawi Toka Mbinguni 🤣

Usiku sana Zephiline akawasikia na kuwaona Wachawi wakijitambulisha:
Mimi Mchawi toka Sumbawanga
Mimi Mchawi toka Tanga
Mimi Mchawi toka Nigeria
Mara akasikia Mimi Mchawi toka Pakistani
Zephiline kusikia vile akajisema "Mhh! mpaka wapakistani nao wako hapa!?
Hawa huwa hawachelewi kujiamlia mambo anaweza kujilipua sasa hivi na nikizubaa hapa tutakufa wote kizembe"
Kwa uoga Zephiline akajiachia kule mtini na kuanguka chini 'Pwaaaa' na haraka na kwa uoga aliokuwa nao akasema "Mimi Mchawi toka Mbinguni"
Wee wachawi kusikia hivyo wote wakatimua mbio🏃😂😜 #ChekanaZephiline
Chapisha Maoni