Labda Mpenzi GirlFriend 🤣

Fetty: Kwahiyo siku hizi ndio umeamua kunichunia na kunipotezea kabisa?
Zephiline: Sio nimekuchunia bali nipo najenga hivyo sitaki kabisa wanawake hadi nimalize ujenzi
Fetty: Sasa mwanamke anakuzuia nini katika kujenga kwako?
Zephiline: Kwa sababu wanawake wanapenda hela
Fetty: Nyooo... Eti wanawake wanapenda hela na yule Yuda aliyemuuza Yesu alikuwa ni mwanamke au?
Zephiline: Utajuaje? Labda GirlFriend wake kila siku alikuwa anataka hela

Tutajuaje🤣😂 #ChekanaZephiline
See Also :