Nasubiri Kupewa πŸ˜‚

Boss wangu ni mtu poa sana
- Aliponunua TV mpya ya zamani akanipa
- Aliponunua SIMU mpya akanipa simu ya zamani
- Aliponunua VIATU vipya akanipa vya zamani
- Jana kaoa MKE mwingine kwahiyo hapa nasubiri kama kawaida yake!πŸ€£πŸ˜‚ #ChekanaZephiline
See Also :