Nitalipwa Kweli? 🤔

Leo nimemuona EX wangu na jamaa ninayemdai deni kubwa halafu anasema atalipiwa na demu wake ambaye nilimuacha kwa tabia ya kuomba omba hela ovyo

Hii hela nitalipwa kweli?🤔 #ChekanaZephiline
See Also :