Unakuna Miwani 🤣

Chizi mmoja kavaa Miwani sasa Jicho likawa linamuwasha akaanza kukuna juu ya miwani😎 nikamuuliza "Mbona unakuna miwani?"

Chizi akanitazama kwa mshangao kisha akaniuliza "Wewe ukiwashwa makalio huwa unavua Suruali?"😆

Kwa jibu hili nililopewa nimebaki najiuliza kati ya yeye na mimi nani ndiye chizi?🚶😂😜 #ChekanaZephiline
See Also :