Nyama ya FISI πŸ˜‚

Zephiline kaenda kumtembelea rafiki yake Elisha akakaribishwa bonge la ugali na nyama nyingi tu
Wakati anakula akagundua kuwa shemeji yake hali nyama anakula zake mchicha

Zephiline:
Aise hili ni bonge ya la furaha
Lakini Elisha mbona sisi tu ndio tunaokula nyama shemeji Ruth hagusi kabisa anaishia kula mchicha tu?
Tabia gani hii?

Elisha: Hapana sijamkataza ila shemeji yako ni Mngoni halagi nyama ya FISI kama sisi

Zephiline Akazimia Hapo HapoπŸ˜‚πŸ€£ #ChekanaZephiline
See Also :