Masaa 24 🤣

- Mwenye deni SACCOS atakwambia wiki ina siku 3
- Baba mwenye nyumba atakwambia mwezi una siku 60
- Mimi mwenyewe naamini mwaka huu una miezi minne tu maana unakatika sijanunua hata baiskeli ila nina madeni ya kutosha😂 #ChekanaZephiline
Recent Comment
Chapisha Maoni