Kipondo cha Kujitakia 🤣

Zephiline: Hapa ni kambi ya Jeshi?
FFU: Ndio tukusaidie nini?
Zephiline: Mimi ni kipofu
FFU: Sasa unataka tukununulie macho!?
Zephiline: Hapana nataka nifanye fujo ili nione

Kipondo kingine sio hata cha kutoa pole kabisa unakuwa umejitakia kabisa😂🤣 #ChekanaZephiline
See Also :