Imeandikwa Hivyo πŸ˜‚

Nimezunguka mtaani natafuta watu 17 wa kuangalia nao filamu kwa sababu hiyo filamu imeandikwa 18 and above eti watu wananichekaπŸ˜‚

Sasa hapo kosa langu ni lipi?
Kweli Kingereza siyo Kizaramo wala Kisukuma🀣 #ChekanaZephiline
See Also :