Mapenzi Moto 🔥

Mapenzi yakiwa moto moto
"Baby nitumie picha zako❤
Tuma na zingine"

Ila yakianza kuchuja tu utasikia
"Baby mbona unatuma picha sana😠
Mimi sina bando"

😂🤣 #ChekanaZephiline
See Also :