Wanandoa Fanyeni... 😁

Zephiline akitoa wosia kwa maharusi mbele ya wazazi na wageni waalikwa:
Nawashauri nyie wana ndoa wapya
Mfanye Asubuhi
Mfanye Mchana
Mfanye Usiku

Hata kama ni Usiku sana mwanaume mwamshe mkeo Mfanye
Mlazimishe na akisema Unamsumbua mlazimishe Mfanye hata dakika moja

Hata mara tatu kwa Usiku mmoja nyie FANYENI MAOMBI kumuomba Mungu ailinde ndoa yenu

Na huu ndio ushauri wangu kwenu jamani
MFANYE MAOMBI naye Mungu atawasikia na kujibu maombi yenu
AMINA

🀣Wewe unayesoma hapa najua uliyoyawaza Mungu akusamehe tuπŸ˜‚ #ChekanaZephiline
See Also :