Nasaka Mke Wangu ππ½

Nasaka mke wanguππ½
Hapa hayupo✋πΌ
Hapa hayupo✋πΌ
Kaenda wapi?π€
Kaenda wapi?π€
Kaenda kusukaππ½
Kaenda kusukaππ½
Chanuo kampa nani?π€
Chanuo kampa nani?π£
Kampa msusi π€‘
Kampa msusiπ£
Mafuta kampa nani?π
Mafuta kampa nani?π£
Kampa msusiπ€
Kampa msusi π£
Kigoda kampa nani?π
Kigoda kampa nani?π£
Kampa msusiπ€
Kampa msusiπ£
Huu mti gani?π²
Wa Mchongoma
Nikiukata?π€Ί
Haukatiki
Kwa Kisuπͺ?
Haukatiki
Kwa Pangaπ‘?
Haukatiki
Kwa Shoka⛏️?
Haukatiki
Ulivyonata na biti sasa
Ama kweli wewe ni Muhengaππ€£ #ChekanaZephiline
Chapisha Maoni