Zephiline Kawa Zulfat 🤣

Zephiline alimpa ujauzito mwanafunzi akashtakiwa na kumbe ana Bibi yake mtaalamu wa yale mambo yao ya Sumbawanga
Yule Bibi akampachika Zephiline jinsia ya kike kumsaidia kwenye kesi yake

Zephiline alipofika mahakamani kuhojiwa akasema 'Sijampa ujauzito kwa sababu mimi pia nina jinsia ya kike'
Kwa kuthibitisha wakaenda kumkagua na kweli wakakuta ana uke basi Zephiline akashinda kesi na kuwa huru

Kufika nyumbani akawakuta watu wamejaa wanalia akauliza kulikoni akaambiwa Bibi yake amefariki

Kwa sasa Zephiline anaitwa Zulfat🤣😂 #ChekanaZephiline
See Also :