Wivu wa Majirani πŸ˜‚

Umelala kwa boyfriend wako halafu asubuhi ukavaa T Shirt yake usikie jirani zake wanasema 'Hiyo Tshirt wadada wengi wakija hapa lazima waivae'

Kati ya umekutana na mhuni au majirani wana wivu na baby wako utabaki lipi kichwani?🀣 #ChekanaZephiline
See Also :