Wasaliti wa Ndoa π
Hatujakaa sawa mara mumewe karudi nikaingia uvunguni na jamaa kamtuma mke wake sokoni
Kumbe naye anachukua mke wangu
Kampigia simu akaja kwake
Kabla hawajakaa sawa mke wake karudi mke wangu naye ikabidi ajifiche ndipo kachoma uvunguni
Hapa tupo tumekutana uvunguni tunatazamana kama mabundiπ€£π #ChekanaZephiline
Chapisha Maoni