Tazama Filamu za Kuvutia Pamoja na Vichekesho Bure Kabisa
Website inakuletea mchanganyiko wa kipekee wa filamu na vichekesho kutoka kwenye channel zetu za YouTube. Jipatie dozi ya kuvutia ya burudani na kufurahia maudhui yaliyochangamka, yenye kuchekesha na yenye kuvutia.
Pata filamu na vichekesho vyote unavyovutiwa navyo hapa!
Serikali kupitia waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Jamii imewaagiza wamiliki wa nyumba za kupanga kuwa ifikapo mwezi kesho bei ya chumba itapunguzwa hadi kufikia nusu ya bei ya awali(50%) Yaani kama ulikuwa unalipa chumba 50,000 sasa utalipa 25,000
Ni huko Burkinafaso Huku kwetu bado sana wewe andaa kodi ya watuππ€£ #ChekanaZephiline
Chapisha Maoni