Vichwa Kwenye Begi 🤔

VICHWA VITATU VIMEKUTWA KWENYE BEGI
Hii imetokea hapa maeneo ya Chato leo

Wasichana wawili walichukua tax toka Rubambangwe kuelekea kituo cha basi Chato Stand mara dereva akahisi harufu kali iliyomchanganya sana

Wakati anaendelea na safari mbele yake akawaona polisi wawili barabarani akasimama ili hayo mabegi yakaguliwe
Polisi waliongea na wasichana hao wakatoa milioni 2 dereva tax akaruhusiwa bila ukaguzi

Walipofika Search Point ndipo askari mmoja alishtuka alipofungua begi akaona Vichwa vitatu
Vilipofanyiwa uchunguzi wakagundua kuwa vichwa hivyo ni vya Samsung Charger, iPhone Charger na Tecno Charger

Ahsante kwa kusoma stori yote, kama umechukia njoo tupigane maana ulitegemea habari mbaya, unaweza kuendelea na kazi unayofanya😂🤣 #ChekanaZephiline
See Also :