Unataka Urithi? π
Zephiline: Baby zama ndani tujienjoy!
Edna: Khaa nani aingie!? Wewe si ulisema unaishi Mbezi Beach? Picha zako facebook na instagram zinaonesha una nyumba kali na gari la kifahari!
Zephiline: Kwani unataka kuiba au uwe mrithi?
π€£π #ChekanaZephiline
Chapisha Maoni