Siwezi Kufa Kijinga π
Nipo busy nafua nguo zangu mara mlio wa simu kumbe ni demu wangu kanitumia ujumbe
Nikaifungua na kuchoka baada ya kuisoma
Aliniambia "Tumeachana kuanzia leo usinitafute"
Nikasema huu ujinga nikachukua Kamba nikaifunga vizuri kabisa nikachukua stuli nikapanda juu yake nikachukua nguo nikaanikaπ€£
Siwezi kufa kijinga hivyo unavyowazaπ #ChekanaZephiline
Chapisha Maoni