Siri ya Mafanikio Yako ππ½
Ipo Hivi:
DARI
- linasema anga ndicho kipimo cha kufikiria
DIRISHA
- linataka utazame nje uone fursa zilizopo ulimwenguni
KALENDA
- Inasema uwe mtu anayekwenda na wakati
KIOO
- Kinasema ujitazame na ujiamini kabla ya kutenda lolote!
Mungu akubariki sanaππ½ #ChekanaZephiline
Chapisha Maoni