Nilitaka Kujua tu 🤣
Zephiline: Hallow hapo ni mapokezi ya wagonjwa?
Mapokezi: Ndio penyewe tukusaidie nini?
Zephiline: Hivi chumba namba 47 kina mgonjwa?
Mapokezi: Sifahamu ngoja nikaangalie
Zephiline: Poa
Mapokezi: Hakina mgonjwa kwani vipi?
Zephiline: Nilitaka kuakikisha kama nimetoroka kweli
😂🤣 #ChekanaZephiline
Chapisha Maoni