Ndiye Baba Yako 😥

Fikiria unakuwa bila kumjua Baba yako mzazi halafu siku moja umeshakuwa mtu mzima Mama yako anakwambia "Unamuona yule mbaba? Huyo ndio Baba yako lakini tuliachana kisa mimi kugoma kutoa mimba ambayo ndio wewe ulikuwa ndani" utafanyaje?😥🤔 #ChekanaZephiline
See Also :