Muuza Majeneza 🤣

Tupo kanisani Mchungaji kasema anayetaka kuombewa ili biashara yake ikue apate wateja wengi asimame kuna Muuza MAJENEZA amesimama wa kwanza..

Naona Mchungaji kaaihirisha Ibaada kasema itaendelea wiki ijayo🤣 #ChekanaZephiline
See Also :