Mshukuru Mungu π
Una michirizi ya unene?
Una shepu isiyovutia?
Una nywele za kipilipili?
Una meno a njano?
Una chunusi, harara au mabaka kwenye ngozi yako?
Una nywele zinazokatika?
Mshukuru Mungu kukuumba hivyo hamna namna nyingine
Sasa ulitaka awenavyo nani sasa kama sio wewe?π€£ #ChekanaZephiline
Chapisha Maoni