Tazama Filamu za Kuvutia Pamoja na Vichekesho Bure Kabisa
Website inakuletea mchanganyiko wa kipekee wa filamu na vichekesho kutoka kwenye channel zetu za YouTube. Jipatie dozi ya kuvutia ya burudani na kufurahia maudhui yaliyochangamka, yenye kuchekesha na yenye kuvutia.
Pata filamu na vichekesho vyote unavyovutiwa navyo hapa!
Heka 1 ya matikiti ina uwezo wa kutoa matikiti 10,000 ambapo kila tikiti ukiamua kuuza kwa bei ya haraka ni Tsh 2,000 Kwahiyo ukichukua idadi ya matikiti 10,000xTsh 2,000= Tsh 20,000,000 ukitoa Tsh 400,000 za uzalishaji unabakiwa na Tsh 19,600,000
Kilimo cha kwenye makaratasi rahisi sanaπ€£π #ChekanaZephiline
Chapisha Maoni