Kidole Ndani ya Supu 🤣

Mhudumu kaleta supu huku kidole gumba kimo ndani ya bakuli

Zephiline: Mbona unaweka dole lako ndani ya supu yangu?
Mhudumu: Dokta kaniambia kidonda kiwe na joto saa zote ndio kitapona
Zephiline: Si uwe unachomeka matakano kwako?
Mhudumu: Ndio huwa naweka nikiwa jikoni
Zephiline: Ah! Kum#m%e kunywa mwenyewe mseng* nini!?
Mhudumu: Matusi yanatoka wapi jamani? Kunywa bwana mbona hata jana ulikunywa tu na haujafa

🤣😅 #ChekanaZephiline
See Also :