Ikikuuma Muache πŸ˜‚

Zephiline baada ya kumaliza form Four Baba akamwambia achague zawadi yoyote aipendayo
Zephiline:
Naomba pesa nikamuoe Bibi maana siku nyingi amekuwa akiniita mchumba wake

Baba :
Shenzi, yule ni Mama yangu mzazi huwezi kumuoa

Zephiline:
Mbona wewe umemuoa Mama yangu mzazi sijasema kitu wewe inakuuma?
Lazima nilipize kisasi ikikuuma muache Mama yangu kila mtu akae na Mama yake

πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜„ #ChekanaZephiline
See Also :