Golden Chance 🤣

Beyoncé:
- Anamiliki mabilioni ya pesa 💰
- Ana tuzo 35 za Grammy 🏆
- Ana magari makali na ni maarufu duniani kote 🌍
...ila akisalitiwa kimapenzi na bwana yake Jay-Z anaombwa tu msamaha yanaisha!

Wewe Faustina Mwakipesile unayemiliki:
- Tecno tena ya mkopo 📱
- Earphone zilizofungwa mkanda 🎧
- Chupi kubwa tatu tena zenye kutu 🩲
- Umaarufu wako wenyewe unaishia mtaani kwenu hapo hapo!
...ukisalitiwa unaombwa msamaha unakataa eti "Golden Chance Never Come Twice!" 😤✋

Hivi unajua maana ya GOLD lakini au unafuata mkumbo tu? 😟😜 #ChekanaZephiline
See Also :