Gari Limeibiwa πŸ˜‚

Tulikuwa bar ghafla mlinzi akaingia akiwa spidi akamwambia mzee tuliyekuwa tumekaa tunakunywa naye:πŸ‘‡
Mlinzi: Mzee gari lako limeibiwa
Mzee: Umemtambua aliyeliiba?
Mlinzi: Hapana lakini nimeandika namba za gari yako ambazo ni hizi hapa

Mzee alibaki anamtazama mlinzi akishindwa chakufanya🀣 #ChekanaZephiline
See Also :