Changanya Uchanganyikiwe 🤣

Ukichanganya
Maji ya Limao vijiko vitatu
Unga wa Muhogo
Nusu kijiko cha Chai
Maganda ya Karanga mbichi zile nyekundu
Majivu ya Ndizi Mshale zilizochomwa
Mafuta ya mkia wa Kondoo
Unga wa njiti za Viberiti
Robo kikombe cha mkia wa Pweza na
Tui la nazi

Unavyosoma kwa makini sasa
Hata mimi sijui ukichanganya unapata nini wewe endelea tu🤣 #ChekanaZephiline
See Also :