Alikataa Kusoma π
Alisoma mpaka darasa la saba na kufaulu lakini akagoma kwenda shule na kuchagua kuolewa ambapo kwa sasa ana watoto watatu na maisha yake yanaendelea vizuri tu
Mwisho wa Stori
UJUMBE:
Tusipende kusikia au kusoma stori za kuhuzunisha na kusikitisha tu hata isiyo na mgogoro au majuto ndani yake tusimliane!ππ€£ #ChekanaZephiline
Chapisha Maoni