Wanaridhishwa na Pesa πŸ˜ƒ

Kaka, mwanamke akikwambia haumridhishi usikimbilie kuwa haumridhishi kimapenzi wenda haumpi pesa ya kutatua shida zake
Ndio maana unaweza kukuta unamridhisha kimapenzi lakini anaenda kutembea na mzee ambaye sio fundi ila ana Pesa

Sasa hivi wanaridhishwa na Pesa tuπŸ˜‚πŸ€£ #ChekanaZephiline
See Also :