Waaminifu Hawajibu 🤣

Ukijibiwa 'Nina mtu wangu' au 'Tuendelee tu kuwa marafiki wa kawaida' kazana
Mademu waaminifu hawajibu chochote wanakaaga kimya

Au nadanganya?😂 #ChekanaZephiline
See Also :