Utapekua au Utatulia? πŸ˜‚

KUWA MKWELI
Umeenda kwa mpenzi wako ghafla akapata dharura akatoka kwa muda kama wa masaa mawili hivi wewe akakuacha ndani peke yako

Je, utapekua ndani mwake au utatulia tu!?🀣 #ChekanaZephiline
See Also :