'Usijisikie Vibaya' 😥
Muda huu ananipigia simu anasema:
'Usijisikie vibaya yule niliyekuwa naye ni mjomba wangu tulikuwa tunaongea masuala ya kifamilia'
Ila haya mapenzi yatakuja kunimaliza mwenzenu😢
Sasa hapa nimjibu nini wapendwa?🤔 #ChekanaZephiline
Chapisha Maoni