Ukiingia Muamala tu Shida 🤣

Hivi kwanini simu yangu ukiingia MUAMALA ndio SMS za promosheni zinakuja kwa wingi?
Sijui cheza hivi ushinde mara namba yako inabahati imeingia kwenye promosheni hii

HIVI NI KWANGU TU AU NA HUKO KWENU WAPENDWA?🤔 #ChekanaZephiline
See Also :