Sijafa Bwana πŸ˜†

Zephiline alikuwa anaumwa sana mkewe akamuita daktari
Alipofika akamkuta jamaa kafumba Macho:

Dokta: Huyu mbona ameshakufa?
Zephiline: Sijafa bwana
Mke: Hebu nyamaza bwana acha kubishana na wataalamu

πŸ˜†πŸ€£ #ChekanaZephiline
See Also :