Sauti Kubwa Zaidi πŸ˜‚

Hakuna sauti kubwa duniani kama sauti ya mfuniko wa sufuria
Hasa pale unapo dokoa nyama jikoni halafu mfuniko ukadondoka kwenye sakafu

Hapo ndipo utaeleza kilicho mtoa Kanga manyoya ni nini🀣 #ChekanaZephiline
See Also :