Nitakupa Nauli π
Rose: Baby leo nimeona iPhone 17 kwenye duka la simu mjini, ni nzuriπ€©
Zephiline: Vipi umeipenda?π€
Rose: Nimeipenda sana mpenzi wanguππ
Zephiline: Usijali kesho nitakupa nauli ukaiangalie tenaπ
Rose: Na usiniite tena hapa kwakoπ π‘
ππ #ChekanaZephiline
Chapisha Maoni