Naomba Dua Zenu πŸ’ŠπŸ˜„

Dokta alinipa dawa akasema ninywe Asubuhi, Mchana na jioni
Nimefiki nyumbani naangalia kwa makini ameniandikia 3x3 nikajua ameshindwa kulijibu swali nikamjibu = 9 na nakumbuka alisema kunywa dawa Asubuhi, Mchana na Jioni basi nikajua nakunywa 9 kila awamu

Niseme tu dua zenu ni muhimu sana kwanguπŸ™πŸ½ #ChekanaZephiline
See Also :