Mtoto wa Mama au Baba?
Mume alimpa mkewe talaka wakaenda mahakamani ili hakimu aamue nani akae na Mtoto
MUME:
Mheshimiwa hakimu hivi nikichukua ATM card nikaingiza kwenye mashine ikatoa pesa, pesa zitakuwa ni za ATM au za kwangu?
MKE:
Mheshimiwa hakimu hivi ukimwaga mbegu katika shamba la mtu mti ukiota utakuwa wa kwako au wa mwenye shamba?
Hebu tumsaidie hakimu kwenye hii kesi🤣 #ChekanaZephiline
Chapisha Maoni